Brazil yaondoa takwimu za jumla za Corona kwenye tovuti ya Serikali, itakuwa inatoa takwimu za siku pekee

Wamezika mamia kwa mamia! Bado rais naye atazikwa tu, si anajifanya mbabe, it is a matter of time! Mbinu gani wakati walifaya kama sisi hapa and have been hardly hit! na bado sana. Kwani hapa si watu wanakufa?
 
Inasikitisha. Ujinga mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…