Brazil yaondoa takwimu za jumla za Corona kwenye tovuti ya Serikali, itakuwa inatoa takwimu za siku pekee

Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.

Hatimaye Brazil nao wamejifunza yale mambo yetu:

Brazil Finally Decides to Follow Tanzania's Footsteps Despite Being Hardly Hit by Covid-19

Kwa mwendo huu wiki moja ijayo ugonjwa utaanza kupungua. Wiki mbili baadaye believe me, Corona yote itakuwa historia kwao.

Ama kweli dunia ina la kujifunza tokea kwa mzee baba aka baba lao.
Wamezika mamia kwa mamia! Bado rais naye atazikwa tu, si anajifanya mbabe, it is a matter of time! Mbinu gani wakati walifaya kama sisi hapa and have been hardly hit! na bado sana. Kwani hapa si watu wanakufa?
 
Inasikitisha. Ujinga mzigo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom