Tahadhari !!! Tahadhari !!!
Ndugu mpenda soka
tunakuomba radhi maana
mechi uliyoona jana sio
halisi.kuna kikundi cha
wachina wameingilia mfumo
wa computa wa fifa na
wameonesha mechi ya play
station yao.
Tunajitahidi kuweka sawa
mambo na mechi halisi
itarushwa muda wowote.fifa
2014.