Kwa mujibu wa CNN hali ya maambukizi na vifo vinavyohusishwa na Corona inatisha. Ni ya pili baada ya marekani kwenye chati ya nchi zilizo na maambukizi mengi zaidi duniani.
Hata hivyo Rais wao kama rais wa Tanzania ameyaita mafua yale kuwa ni vimafua tu!