Brazia zinapatikania jumla na rejareja

Brazia zinapatikania jumla na rejareja

Jinsi yakujipima bra size majumbani:-
1. Chukua tape measure halafu vaa bra inayokukaa vizuri
2.pima mzunguko chini ya ziwa (band size)
3. Pima mzunguko wa juu ya ziwa ( bust size)
4. Kujua bra size yako chukua bust size utoe na band size ili kujua cup size yako
5. Tofauti unayoipata baada ya kutoa ndio Cup size yako na ndio bra size yako
Kama tofauti ni 1 hiyo ni Cup A
Kama ni 2 hiyo ni Cup B
Kama ni 3 hiyo ni Cup C
Kama ni 4 hiyo ni Cup D
Nakuendelea
* Angalia mchoro kwa maelekezo zaidi
binnystanzania
[HASHTAG]#youarewhatyouwear[/HASHTAG]
IMG_20180303_190544_859.jpg
 
Tunatafuta wasambazaji, ukitaka kuwa msambazaji wetu tucheki kwa namba zetu kwa maelezo kamili. +255656735240
 
Umofia kwenu wanaJf.
Kuelekea msimu wa mfungo wa ramadhani, duka letu tumefanya punguzo la bei la zaidi ya asilimia 50 ya bei ya mwanzo. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom