usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Mhhhh
Mhhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sina churaKwa lile Chura ni haki iwe changamoto kupata size ya kyupi
Vipi mkuu, unataka mnunulia?[emoji1] [emoji1] [emoji1] mbona kwa profile unaonekana kama kamodo modo hiv?
Michepuko hamna ofa, tunahamasisha watu kubaki njia kuu.Wanaochulia michepuko yao ofa hamna?
Tunazo size zote, karibu.Hamna size yangu hapa
Kweli kabisa[emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] itabidi ziwepo za kushonesha ili kukabiliana na hii changamoto
Hiyo blue ipo mpaka size 48.Hata hyo blue iliyogeuzwa
Tutazileta soon[emoji1]Itapendeza zaidi
Picha ni sample tuu, uone rangi na style. Bra zipo size zote.Ako kadogo
Ni vizuri, utaingia kwenye list ya wenye viwanda.Kama hilo limepita,basi mi ni fundi nguo kuanzia sasa
Size 40 tunazo.
Mahawara amna ofa, tunahamasisha watu kubaki njia kuu.Vipi Kwan wanaochukulia ma hawara?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sina chura
Amesema anataka size 40Hiyo blue ipo mpaka size 48.
Well, Chukua mbili utanambia bill yake ni sh ngapi.Mahawara amna ofa, tunahamasisha watu kubaki njia kuu.
Karibu sana, tupo udsm na kigamboni pia.Amesema anataka size 40
Itabd nipite nkimbebea huyu mtt mzur