Braza

Braza

inakera sana kwakweli haahah! unamblock tu jitu km hilo lol!
 
Braza.....
Ushawahi kukutana na demu anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
"Za hasubui Lichadi,Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
"Ndo mana kila siku tunaibiwa mchanga'
Hahahahaha.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom