Bravo job centre agent

Bravo job centre agent

Short Boe

Member
Joined
Nov 15, 2021
Posts
20
Reaction score
16
Habari,

poleni na majukumu Kuna kampuni nimesikia inaitwa BRAVO JOB CENTRE AGENT inatoa fursa za ajira za nje ya nchi nilitaka kufahamu hii kampuni Ofisi zao zipo wapi? na je Ni kweli hizo ajira Ni za uwakika..?

Msaada kwa anaejua jamani
 
Bravo wapo Rissa tower pale Mtaa WA Lumumba.
Ukifika Tu pale wanapopika nyama choma uliza floor ya ngapi watakueleza.
 
Back
Top Bottom