Bravo January Makamba hili la mifuko umeweza


Mkuu, don't take everything very seriously humu.

Hata ukiangalia response yangu wala haioneshi niko desparate na hiyo like.

Pole mkuu kama umekwazika.

Hata hivyo nikukumbushe tu humu sio wote wanaojiita Great Thinkers are what they claim to be.

Utawatambua kwa mawazo yao kwenye mada mbalimbali wala sio kwa kuandika wanataka likes.

Aidha, wa huko facebook unakutana nao huku pia. Sio wote wa facebook wana mawazo kama yangu na sio wote wasiotumia facebook ni GT.

Our heterogeneous thinking sweetens our lives. Otherwise this world could be very boring.

All the best GT.
 
hili suala makamba lilimshinda. Majaliwa ndiyo kaliwezesha.
 
Na sie tunaorudisha chenji tunapokuwa tunasafiri kwenye mabasi,wametupatia pia mifuko mbadala!??
 

on italics and boleded content

sijakwazika ila hicho ndo nilichokimaanisha, na nimerespond kulingana na reply yako on like demand

siku njema
 
Sababu za kufanikiwa zoezi hili ni
1)uhamasishaji toka kwa wizara husika,waziri mwenyewe

2)watu wameonesha kushiriki kutokana na kukubaliana ya kuwa mifuko ya plastic inazingua

Kwa humu jf FRANCIS DA DON kitambo sana Alikuwa anapiga kelele humu kuhusu mifuko hiyo ya plastic pongezi ziende kwake pia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…