The University of Dar es salaam (UDSM), recently marred by student riots over alleged administrative flaws, has banned all social and ethnic associations at the institution with immediate effect.
What's wrong with the social associations? Having banned these, which type of associations are now permitted?
The administration should also seriously address what they seem to regard as mere allegations, that they do have flaws, or else the whole imbroglio will repeat itself notwithstanding the banning.
You don't know the problem of tribalism!?
Ask Wahutu and Watusi in Rwanda or Burundi.
The University of Dar es salaam (UDSM), recently marred by student riots over alleged administrative flaws, has banned all social and ethnic associations at the institution with immediate effect.
Mkuu! Basi uwe unazisoma kabla ya kuzitundika! Wenyewe wamesema wanapiga marufuku 'social' NA 'ethnic' associations, vitu viwili tofauti. Mimi sikuulizia 'ethnic associations', nimeulizia 'social associations'. Sasa 'tribalism' kwenye social imeingia wapi? Ninavyoelewa mimi ethnicity ndiyo inayohusiana na tribalism wala sio social. Ingawa mimi ni Fundi Mchundo mwenye elimu duni lakini usidhani ni punguani!
Dr Qorro said the decision to ban tribal associations at UDSM was passed by the university council on March 13 this year, following concerns over growing disunity among students. Social Associations sometimes they don't have any different as compared to ethnic associations.
Mfano mmoja Chama cha Watoto wa vingunge, sisemi kwamba kulikuwa na chama kama hiki, lakini huko nyuma kulishakuwa na hill club ambapo baadhi ya wanafunzi walitengwa katika chama hicho kwa sababu tu hawakuwa na 'status' inayokubalika kuwa mwanachama wa hiyo Hill Club.
Vyuoni ni sehemu ambapo Watanzania toka kila kona ya nchi wanatakiwa wafahamiane zaidi na kujenga urafiki labda wa kudumu. Panapokuwa na jinsi yoyote ile inayosababisha kujenga uadui kwa sababu baadhi ya wanafunzi wanatengwa na wenzao kwa sababu moja au nyingine ikiwemo hiyo ya NA associations basi hizo NA associations zimepoteza mwelekeo na hazistahili kuruhusiwa kuendelea kuweko ndani ya vyuo vyetu.
You see now Mkuu!
By Pius Rugonzibwa
THE CITIZEN
The University of Dar es salaam (UDSM), recently marred by student riots over alleged administrative flaws, has banned all social and ethnic associations at the institution with immediate effect.
A memo issued to students through their organisation Daruso and signed by university dean of students Dr Martha Qorro said such associations were organs that weakened unity.
Kithuku,
..bila kuwahakikishia Watanzania kwa nadharia na vitendo kwamba watanufaika ndani ya "umoja" wa Tanzania nzima, basi hivi vyama vya kikabila vitaendelea kuchipuka.
..hivi vyama vilikuwepo, baadaye vikafifia, sasa vimeibuka tena kwa nguvu zote. pamoja na kuvipiga marufuku tunapaswa kwenda kujiuliza kwanini wananchi wanavikimbilia? what can we do to make tribal associatians irrelevant??
Na katika sherehe ya chama kingine cha kikabila cha pale mlimani (ilifanyika nje ya chuo), mmoja wa waalikwa ambaye alikuwa ofisa mwenye nafasi muhimu serikalini alipopewa nafasi ya kusalimia "wanandugu" au "homeboys" alitumia fursa hiyo kutaja idadi ya watu wa kabila hilo aliowapatia nafasi mbalimbali kupitia ofisi yake, na kuwachagiza wenzie kufuata mfano huo huku akisema "tupendane jamani!" Alitaja hata fursa nyingine zilizoko kwenye mamlaka yake na kuwataka watu wawahi kumuona naye atajitahidi kusaidia kama alivyosaidia wengine!