Brave israel female soldiers!! They are deadliest!

natamani mtoto wangu wa pili akazaliwe kule ili apate na uraia kabisa, ikiwezekana siku moja awe mwanajeshi aipiganie israel.safi sana.
 
IDF_Female.jpg
 
hizo ni posturing tu kwa ajili ya propaganda.hawana rekodi yeyote ile,ndo maana picha zote hawako front wamepigia ndani ya majumba ama nje maeneo ambayo si frontline.
Bora hata hawa wakurdstan.
WORLD-NEWS-ASIA-4.jpg
 
HAWA WANAJESHI WANAWAKE WA ISRAEL NI HATARI SANA KWA KUPIGANA, WANAWEZA KU ELIMINATE ADUI YOYOTE HATA AL QAEDA AU TALABAN.
GONGA LINKI HIYO UIONE:
http://www.flickr.com/photos/22931262@N07/sets/72157623408579186/detail/

Achilia mbali udini n.k. lakini sikutarajia Mtanzania awasifie hao wauaji wakubwa...wameshateketeza roho za binadamu wapatao 180 hadi kufikia leo wakiwemo watoto wachanga...malaika wasiojua chochote!! Kumbe hata Bongo tunao machinjachinja kibao labda hawajapata fursa tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom