mseseve
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 511
- 89
na unazitambua vipi?niondoeni umburula nini tofauti kati ya LED na LCD......jamii forums kisima cha maarifa
na unazitambua vipi?niondoeni umburula nini tofauti kati ya LED na LCD......jamii forums kisima cha maarifa
Ofisi ipo mnazi mmoja mkuu kwa hiyo unaweza kuja ofisini au naweza kudeliver mzigo ulipo ni uamuzi wako tu
Jamani mimi ni dealer wa electronics za samsumg e.g tv, home theater, fridge, AC, washing machine n.k kwa mtu yeyote atakayeitaji anaweza kunicontact kwa # 0713086602...
Brand ninazouza mimi za kuanzia 2012 mpaka mwaka huu kwa hiyo sina 42 inch ila unaweza kupata kuanzia inch 19,22,23,26,28,32,40,46,55,60,65,75 na 85..Hizi zote ni LED. Kwa upande wa LCD kuna inch 32,46 na 50...chagua unayoona inakufaa nikupe bei mkuu