Jamani mimi ni dealer wa electronics za samsumg e.g tv, home theater, fridge, AC, washing machine n.k kwa mtu yeyote atakayeitaji anaweza kunicontact kwa # 0713086602...
Hizo ni baadhi ya sample nilizonazo. Sitaweza kuweka picha ya kila electronic kwasababu ni nyingi sana kwa hiyo kama mtu unaitaji kitu chochote cha samsung model yoyote nipigie simu ntakupa bei...
Note: nadeal na electronics zote kasoro mobile phones.
Brand ninazouza mimi za kuanzia 2012 mpaka mwaka huu kwa hiyo sina 42 inch ila unaweza kupata kuanzia inch 19,22,23,26,28,32,40,46,55,60,65,75 na 85..Hizi zote ni LED. Kwa upande wa LCD kuna inch 32,46 na 50...chagua unayoona inakufaa nikupe bei mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.