Brand new laptops (hp 620) kutoka uk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Brand new laptops (hp 620) kutoka uk

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mjasiria, Jan 10, 2011.

 1. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Wadau kwa yeyote mwenye kuhitaji laptop kuanzia moja na kuendelea, hesabu tatizo lako limeisha. Laptops mpya na nzuri zimeingia kutoka UK. Specifications zake ni kama ifuatavyo:-  1. Model : HP 620
  2. Intel Core 2 Duo (2.1 GHz) CPU
  3. 3GB DDR3 RAM
  4. 320GB Hard Disk Drive
  5. Bluetooth & Wi-Fi technologies
  6. DVD writer
  7. Integrated webcam
  8. Windows 7 Operating System.


  images4.jpeg image3.jpeg images1.jpeg
  Kumbuka:

  • Hizi laptops kama nilivyoandika hapo juu ni mpya kabisa, hazijatumika mahali popote maana yake unapewa kitu kutoka katika boksi lake.


  BEI:
  Jipatie laptop hizi kwa bei rahisi kabisa ya Tshs 850,000/= tu.


  Mawasiliano:-
  Piga simu 0753965635 au 0714539263


  Email:mtukazi@gmail.com
   

  Attached Files:

 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Du Mkuu hakuna hata Hodi..... Anyway karibu jamvini.
   
 3. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Samahani wakuu. Huu mzigo umeingia muda si mrefu ndiyo tunatafuta wateja. Natumaini nitakaribishwa vyema.

  Thanks.
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmmhhh ni mpya mkuu? je, quarantee miaka mingapi kama kweli MPYA? maana hp wanatoaga miaka mitatu sasa wewe mingapi maana isije mpya neno tuuu...
   
 5. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ni mpya ila tumeziingiza kama kampuni binafsi kwa hyo automatically hiyo guarantee ya hp (ambayo ni 2 yrs) inakuwa applicable kule UK tu.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Zipo na orijino carrying case na software packages?
   
 7. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hp ya kichina for African countries au HP China for European standard???????????? Maana laki 850 ni nyingi ati!!!!!
   
Loading...