Brand new laptop for sale toshiba!!!!

Brand new laptop for sale toshiba!!!!

raia tz

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
89
Reaction score
16
Wandugu kuna toshiba mpyaaa kabisa yauzwa specs hizi hapa.....
BRAND NAME: TOSHIBA,PENTIUM P6100
RAM: 2.48 GB
PROCESSOR: 1.6GHZ
HARD DISC: 500GB
DISPLAY: 15.6'
DVD: SUPER MULTI DRIVE
COLOUR:BLACK
BLUETOOTH,LAN,WEBCAM,

LOADED WITH WINDOW 7HOME BASIC 32BITS PICHA HII HAPA......... TOSHIBA.jpg.. CALL 0654000253 PRICE NI 700000/=
 
Nikiitaka bila OS, yaani bila Window 7 Home Basic. Maana mi huwa natumia Ubuntu which is Open Source OS.
 
Funguka mkuu,unauliza nini hasa,cause computer huja na os zake,waweza change os,kama unaitaka haina shida tunaongea na utachange OS
 
NCHECK KWENYE 0654000253 hii machine ni mpya kabisa mkuu
 
Ili kupata bei niliyopanga inabidi niweke juu kama 100,000 kwa vile ukitaja bei ileile uliyotaka uuze kitu chake lazima utaambiwa punguza 100,000 nzima,huo ndio uzoefu wangu katika''biashara za kibongo''
 
Mkuu panda bei hii laptop mpya kaka sio mini laptop,brand new ncall via 0654000253,hii pesa yako mingi ila haina maslahi boss wangu
 
Nataka laptop mbalimbali za kununua,Nitumie kilamoja na kiasi chake kwenye email yangu ,nimefungua duka la laptop.fabiankeya98tz@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom