Brand new boxed iphone 5s 16gb

Karibu sana kuna moja kati ya hizo tatu ni 32gb
Kiukweli kiongozi ningeipenda hiyo toka iphone yangu 3s ifariki sijanunua simu nyingine mpaka nifikie ukoo huo huo kwakuwa ladha yake naifahamu tofauti na haya makampuni mengine!!! Naamini kufikia kesho kutwa nitakuwa nipo vyemab
 
Poa mkuu karibu sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…