Kwa nyongeza (V=Voltage in Volts; I=Amperage in Amps; R=Resistance in ohms) kutafuta P=Power (energy produced for charging), uhusiano uko hivi:Fast charging simu siyo charger ila usb cable. Waliosoma physics wanajua kwamba energy in Watts = f(resistance, volts, amps).
Usiwapoteze watu , ni kweli waya pia unachangia kupata currents nzuri, Ila fast charger Ni charger yenyewe .Fast charging simu siyo charger ila usb cable. Waliosoma physics wanajua kwamba energy in Watts = f(resistance, volts, amps).
Duuh shukrani mkuu kwa haya madiniA20 inakubali fast charging ila ni 15w tu.
Qualcom fast charging version 2 kupanda itafanya kazi kwako, mfano aliopost mdau hapo juu ni v3.0 inamaana kwako itafanya kazi pia.
Njia rahisi ya kuzipata hapa kwetu tafuta charger za flagship za zamani kama s6,s7,s8 etc
Na ili wasikupige download app ya Acubattery playstore kisha chomeka simu kwenye charger kisha weka lock simu isikilizie kama dakika 5 hivi then washa kioo nenda kwenye charging angalia upande wa screen off charging kama imezidi 2A (2000mA) ujue yenyewe hio fast charging, chini ya hapo ni chaja tu ya kawaida.
View attachment 1450500
Kwa maana hiyo kuna simu ambazo hazisapot fast charger, si ndio umavyomaanishaFast charging simu siyo charger ila usb cable. Waliosoma physics wanajua kwamba energy in Watts = f(resistance, volts, amps).
Nimewapoteza kivipi wakati nimewapa somo kisayansi?Usiwapoteze watu , ni kweli waya pia unachangia kupata currents nzuri, Ila fast charger Ni charger yenyewe .
Fast charger zina processors ndani amabazo zinapima ni kiasi gani cha current kitoke na kwa muda gani
Sent
Mimi sikatai kuwa umetoa somo kisayansi , bali sayansi yako Ina mapengo sana,Nimewapoteza kivipi wakati nimewapa somo kisayansi?
Specification za charger yoyote ni Power (P in Watts) kwa Voltage (V in Volts) na Amperage (I in Amps) i.e. P = V x I. Hii power hisafirishwa kupitia USB Cable au kwa ugunduzi mpya , wireless.
USB Cable nazo zina specification kulingana na aina ya wire zilizotumika kuzitengeneza kwa maana ya Resistance (R in ohms). Lakini Wireless charger hucharge haraka kuliko USB cable chargers kwa kuwa haitumii wire.
Kuniradhi kutokueleza zaidi. Ila ukitaka kuthibitisha hilo chukua charger yako na tumia USB Cable fupi na ndefu utaona tofauti ya muda wa simu yako kuwa charged. Rudi hapa kunipa mrejeshonyuma.
Kuna simu hazisapoti fast charger , na Kuna charger pia hazisapoti fast charger,Kwa maana hiyo kuna simu ambazo hazisapot fast charger, si ndio umavyomaanisha
Popote pale wireless haijawahi kuwa bora over wired, Tunaipenda Wireless kwa ajili ya portability ila interm of Transmission efficiency Wired is still the bestNimewapoteza kivipi wakati nimewapa somo kisayansi?
Specification za charger yoyote ni Power (P in Watts) kwa Voltage (V in Volts) na Amperage (I in Amps) i.e. P = V x I. Hii power hisafirishwa kupitia USB Cable au kwa ugunduzi mpya , wireless.
USB Cable nazo zina specification kulingana na aina ya wire zilizotumika kuzitengeneza kwa maana ya Resistance (R in ohms). Lakini Wireless charger hucharge haraka kuliko USB cable chargers kwa kuwa haitumii wire.
Kuniradhi kutokueleza zaidi. Ila ukitaka kuthibitisha hilo chukua charger yako na tumia USB Cable fupi na ndefu utaona tofauti ya muda wa simu yako kuwa charged. Rudi hapa kunipa mrejeshonyuma.
+1Popote pale wireless haijawahi kuwa bora over wired, Tunaipenda Wireless kwa ajili ya portability ila interm of Transmission efficiency Wired is still the best
Pili swala la Fast charger sio USB cable bali ni ile adapter inakuwa built in support either fixed output au adaptive output lakini Lazima pia simu iwe na Hardware ya kusupport hio fast charging, USB wire ina matter kwa kiasi fulani kutegemea na wire zilizotengenezwa kwa hizi charger nyingi wanatumia silver zaidi ambayo ndio best conductor kwenye umeme.
Pengine inatoa amps ndogo sana, angalia juma ya charger ama download playstore app inaitwa ampere wakati unachaji ni amps ngapi zinaingia?Simu yangu inasumbua charge ikiisha kabisa inagoma kucharge kwa kutumia charger yake original hadi niibust kidogo kwa charger nyingine,tatizo ni nini hasa,simu itakuwa na shida au charger yake inashida?natumia Nokia 2.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mimi nina swali, unaposema fast charger inamaanisha simu yako inachajiwa haraka kulinganisha na chaja za kawaida...
sasa kwa mfano simu yangu ina 0% na ndio naianza kuichaji sasa hivi, je ndani ya nusu saa itafikisha % ngapi? Anaejua anisaidie
Inategemea na ukubwa wa betri la SIMU yako.sasa mimi nina swali, unaposema fast charger inamaanisha simu yako inachajiwa haraka kulinganisha na chaja za kawaida...
sasa kwa mfano simu yangu ina 0% na ndio naianza kuichaji sasa hivi, je ndani ya nusu saa itafikisha % ngapi? Anaejua anisaidie
Inategemea na aina ya charger pia na ujazo wa battery ya simu husika,pia fast charger zinakuja za Aina nyingi, mfano vooc inaweza kuchaji simu ya 4000mah , 0-50 , dk 30,sasa mimi nina swali, unaposema fast charger inamaanisha simu yako inachajiwa haraka kulinganisha na chaja za kawaida...
sasa kwa mfano simu yangu ina 0% na ndio naianza kuichaji sasa hivi, je ndani ya nusu saa itafikisha % ngapi? Anaejua anisaidie