Braking News

Braking News

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
8,386
Reaction score
10,458
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa
Tanzania na
amiri jeshi mkuu Mheshimiwa J.K
ameapa kuingia
vitani wakati wowote kutoka sasa
kutokana na
dharau kubwa inayofanywa na Uganda
kwa nchi
yake na amesema katika hilo hakuna
mtu wa
kumshawishi vinginevyo.
Mheshimiwa J.K amewaambia
waandishi wa habari
leo jijini Dar es Salaam kwamba
amevumilia vya
kutosha manyanyaso ya waganda kwa
watanzania
na kwamba sahivi ameshatoa amri
kwa mkuu wa
majeshi kuviweka vikosi vyake tayari
kuivamia
uganda.
Hata hivyo Rais Julius Nyerere
amesema kesho
atazungumza na wananchi kupitia
radio Tanzania
Dar es Salaam kwani Idd Amin
amemchosha na
chokochoko zake za kuvamia Kagera

......Taarifa ya Ikulu tar.27.07.1978
 
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa
Tanzania na
amiri jeshi mkuu Mheshimiwa J.K
ameapa kuingia
vitani wakati wowote kutoka sasa
kutokana na
dharau kubwa inayofanywa na Uganda
kwa nchi
yake na amesema katika hilo hakuna
mtu wa
kumshawishi vinginevyo.
Mheshimiwa J.K amewaambia
waandishi wa habari
leo jijini Dar es Salaam kwamba
amevumilia vya
kutosha manyanyaso ya waganda kwa
watanzania
na kwamba sahivi ameshatoa amri
kwa mkuu wa
majeshi kuviweka vikosi vyake tayari
kuivamia
uganda.
Hata hivyo Rais Julius Nyerere
amesema kesho
atazungumza na wananchi kupitia
radio Tanzania
Dar es Salaam kwani Idd Amin
amemchosha na
chokochoko zake za kuvamia Kagera

......Taarifa ya Ikulu tar.27.07.1978

Leo tena umesahau kuendelea na dose yako toka Mirembe. Msimamizi wako ni mzembe sana.
 
Msameheni leo hajachoma cndano ya modicate ndiyo 7bu kwani hamkuona hata kichwa cha habar alivyoandika?
 
Back
Top Bottom