Ni kweli kabisa. Kuna mfanya kazi mwenzangu. Muda wote anaongea kuhusu ngono,hajawahi kuka na idea tofauti. Siku nimeshika simu yake nikaona kajaza apps za ngono tu. Kweli you become what you think the most