Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 480
- 413
KabisaUkifanikiwa kufanya kitu consistently kwa nguvu ileile kwa siku zaidi ya 25 kinakuwa tabia yako.
sureIf you notice that you have been programmed, deprogram with the programs and reprogram with your desired program.
Simple!
I did this before. Baada ya tukio baya sana kutokea kwenye maisha yangu, kuna baadhi ya tabia niameacha kabisa..Akili ya binadamu ndiyo computer kubwa na imara kuliko computer yeyote unayoijua; wanadamu sasa tunatengeteza roborts kwa technologia ya Artificial Intelligence
- Akili ya binadamu kama computer inaweza fanyiwa programming; na wanaojua siri hii ni wachache sana, ndio maana Holly wood kila movie wanayo toa huwa na lengo flani kubadilisha fikra za watu hata media pia ndio maana leo hii ukisikia kuwa Kuna ugunduzi wa kisayansi mkubwa umefanywa haraka haraka unajua ni caucasion kagundua au myahudi; ukisikia drug dealers unahisi ni wa mexico, gaidi ni watu kutoka middle east:
Hizo ni programming na brain washing.
Milango inayofanya akili yako ibadilike positive au negative ni hii
1.Macho yanachoona hupeleka akilini
2.Unachosikia pia kina program akili yako
3.Unachoongea pia kinaeza kuku program pia.
Mfano kuna aina ya vitabu ukisoma au movie ukicheki unakua muoga sana au unakua na tabia flani flani.
Taarifa nyingi tunazopata huingia kwenye sub conscious mind yetu na baadae kutubadili bila yetu sie wenyewe kujijua.
Tuwe makini na vitu tunavyo tazama,sikia na kuongea.
Unaeza jifanyia programming mwenyewe na ukawa the best person ever.
KaribuAhsante
Siku ntaelezea kuhusu hii kitu zaidiUkisoma kidgo. Kuhusu subconscious mind, utatoka na mengi ya kujifunza.... You can program akili yako kwa matokeo utakayo.
If you notice that you have been programmed, deprogram with the programs and reprogram with your desired program.
Simple!
Kweli hata mimi kulikuwa na mambo nilikuwa nayafanya ila baada ya masuala fulani kutokea yamenifanya nibadilike sana kitabiaI did this before. Baada ya tukio baya sana kutokea kwenye maisha yangu, kuna baadhi ya tabia niameacha kabisa..
Even the way nina think ni tofauti kabisa
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaah! Nimecheka sana mkuu, anyway, kama umesoma Java au una basics za Java na unataka mbadala wake ijaribu Kotlin utaipenda sana, utakapomaliza kusoma High Level Functions na Lambdas expressions kwenye Kotlin na ukaelewa vyema utakuwa una uhakika wa kudevelop Android Apps pasipo na wasiwasi wowotedah nimekuja mbio nikajua ni m'badala wa Java