Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Kweli mkuu haya 'masimu' ikija kwenye suala la charge/battery ni kizungumkuti. Nadhani kunahitajika mapinduzi katika technolojia ya battery za simu........kwa kuanzia angalau kungeweza kuwa na namna ya kutumia solar energy ku-recharge (kama baadhi ya calculator zilivyo).Tatizo hizo iPhone na Android hazikai na charge muda mrefu,sasa na huu umeme wa kuungaunga si balaa hilo!..
Kweli mkuu haya 'masimu' ikija kwenye suala la charge/battery ni kizungumkuti. Nadhani kunahitajika mapinduzi katika technolojia ya battery za simu........kwa kuanzia angalau kungeweza kuwa na namna ya kutumia solar energy ku-recharge (kama baadhi ya calculator zilivyo).