Bracelets za Jamii Forum

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari wanajamii forum
Kuna mishe nimeibuni,bracelets za jamii forum,vipi ninaweza pata sapoti kutoka kwemu wakuu maana nimeona sio mbaya kibongobongo tukaufagilia mtandao wetu pendwa

N.B.SIJAJUA KAMA NINARUHUSIWA KUTENGENEZA HIZI BRACELETS BILA KUWA NA KIBALI CHA UONGOZI WA JAMII FORUM. @Maxence Mello nihakikishie kwa hiliView attachment 846036View attachment 846038
 
ni nzuri mkuu,ila rangi haijanibamba,light blue na dark blue kama rangi za JF ingependeza..sijui wanaJF wengine wanasemaje
Tatizo kuzipata hizo rangi mkuu,hata mimi nilitaka iwe hivyo lakini rangi za hizo nyuzi ndio tatizo kuzipata
 
Tatizo kuzipata hizo rangi mkuu,hata mimi nilitaka iwe hivyo lakini rangi za hizo nyuzi ndio tatizo kuzipata

oh nimekuelewa mkuu,

hapa JF kama thread yako itaendelea kuwekwa hewani then labda atajitokeza mtu na swala la nyuzi ,wapi unaweza kupata...
 
oh nimekuelewa mkuu,

hapa JF kama thread yako itaendelea kuwekwa hewani then labda atajitokeza mtu na swala la nyuzi ,wapi unaweza kupata...
hopefully,kuzipata zinazoenda na jamii forum ndio tatizo,let me sit and wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…