Bracelets za Jamii Forum

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari wanajamii forum
Kuna mishe nimeibuni,bracelets za jamii forum,vipi ninaweza pata sapoti kutoka kwemu wakuu maana nimeona sio mbaya kibongobongo tukaufagilia mtandao wetu pendwa

N.B.SIJAJUA KAMA NINARUHUSIWA KUTENGENEZA HIZI BRACELETS BILA KUWA NA KIBALI CHA UONGOZI WA JAMII FORUM. @Maxence Mello nihakikishie kwa hiliView attachment 846036View attachment 846037View attachment 846038
 
Boss,unauzaje?
 
Mimi nahitaji ila nipo dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitengeneza za lastic, kama ribbon. Hata wanawake na watu wa ofisini utawapata.

Pia dumisha rangi ile dark blue na nyeupe ya JF. Ukiachilia hayo ni bonge moja la idea.

Melo akupe go ahead tu
 
Rangi mbaya n art ya maandish haivutii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…