BP and The US Oil Spill disaster!

Sababu ya Uiengereza kuwa bega kwa bega na Marekani katika unyama wao duniani ni haya mafuta.Uiengereza kupitia BP wanavuna kutokana na machafuko hayo.Sasa damu za wanaodhulumiwa kwa vifo na dua za watu wao zimetumbuka.Hofu ni hatimaye kuzuka moto wa ajabu kuyachoma mafuta hayo.Wanaanza kutafutana wa kulaumiana lakini hii hali si Howard wa BP wala Obama mwenye uwezo wa kuirekebisha kabla hawajarudi Iraq,Afghanistan na Pakistan kuomba msamaha.Vyenginevyo karibuni hivi
Marekani itakuwa kama hivi
slide_6569_96442_large.jpg
 
Back
Top Bottom