Ndo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
Ukisema ex inatosha ..sio mpaka useme ex wako coz no one has right to hold somebody after break up...Kweli. Na pia hanisumbui sana kama ex wangu. Hajawahi kunionyesha hanipendi au dharau. Shida ipo kwenye uchafu na ubishi.
pole mamii ila kama umependa na ukaoza vumilia akuoe mkiwa wote ni rahisi kumbadilisha japo kwa kiasi kidogoHuyu ni mchafu wa asili. Yani mara ya kwanza naenda kwake nilikuta karundika soksi kama pea 20 hivi. Kumuuliza akasema eti yupo busy na kazi anakosa muda wa kufua soksi. Niliyafua yote. Love is blind. Nimekaa kabisa nafua masoksi pea 20
wewe endelea kujimbwambafy kuolewa utasikia redioni. Ukifikia umri wa kuolewa badilisha fikra za kishule, za kisherehesherehe, za club , za kujirusha...unapoukubali umama basi yafaa uukane usichana na maisha sii maigizo uyaonayo kwa watu. Watu wanavumiliana kwa mengi ndio maana wanadumu kwenye mahusiano. Unaweza ukampata msafi kweli kweli shughuli ya jeshi haiwezi vizuri lakini kwani sisi wanaume tunavuilia mangapi kwenu? kama sio kastarehe ka muda na kutafuta watoto unadhanmi hali ingekuwaje kwa mfano???Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Jilaumu wewe maana jukumu la usafi la mwanamke. Mpaka hapa wewe ndiye mchafu si yeye.Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Tatizo na nyie tukiwa wasafi sana mnatuchukia tena.Kuishi na mtu mchafu yataka Moyo.
Kiumbe wangu Mimi hatujashindwana bado
Huwezi kuwa smart and then umdate mtu wa hovyo, inawezekana vipi?
#kila mtu na size yake
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Kama mganga wa kienyeji.Ndo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
nakupenda bure dada yangu, birds of the same feather flock together, you cant find an eagle flocking with a vulture no way, be blessed, you have given her the right answerKiumbe wangu Mimi hatujashindwana bado
Huwezi kuwa smart and then umdate mtu wa hovyo, inawezekana vipi?
#kila mtu na size yake
Inabidi uwe mchafu zaidi yake mpaka alalamike,tena uwe unajikojolea kabisa kitandani,aklalamika unamuambia ukitaka niache kukojoa kitandani acha uchafu
Nimeandika Uzi wangu nataka mwanaume msafi, wanaume wachafu wamepanick. I swear unaweza pata a life partner anakupenda Ila small habits kama hizi zinakuja kuvunja mahusiano. Wanaume wachafu badilikeni, especially small minded men who think being dirty is manly.Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu.
Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni.
I'm not the cleanest person lakini huyu mwanaume ni mchafu jaman. Akioga usiku kabla ya kulala asubuhi haogi. Hata kama nikimsema yani analala na mwanamke usiku asubuhi anaenda kazini hivyo hivyo. Chumba chake ndo kichafu usiseme. Kuna wakati nilisafiri nikaenda mkoa mwingine kama mwezi hivi kurudi chumba hakitamaniki. Nikaona isiwe shida nikamsafishia. Ikawa kila weekend nikienda nasafisha. Nilipata ugeni sikuweza kwenda kwake kwa takribani wiki mbili, mungu wangu siku nilioenda ni kama pamepigwa bomu! Sahani aliolia chakula siku kama 3 zilizopita zipo humo, machupa ya maji, maganda ya ndizi. Hapo kitandani ndo usiseme. Ana jiko na sebule lakini viombo vimejaa chumbani. Yani nikaona hii ni tabia yake.
I can't do this anymore. I'm like his house girl.hata mama hamlei mtoto wake hivi.Mwanaume haambiliki. Nikishauri ajitahidi usafi anasema nampanda kichwani( Male ego).
Sijaenda kwake wiki sasa I know nikienda huko huo uchafu ntakaokutana nao sina hamu.
He's a good guy lakini hii tabia yake imenishinda. Bora yaishe tu.
Kina dada mnaishije na hawa viumbe?. Huyu kanishinda
Great thinkers tumeshaelewa, Kwa kuwa Ex wako kakurudia ndio unasema " bora apite hivi"Nimejaribu only God knows. Nikimwambia abadilike anasema nataka kua mwanaume kwenye haya mahusiano yani I want to control him. Bora apite hivi tu.
Mhh dampo?Ndo umekuja kunitangaza huku JF? sawa bwanaView attachment 1231209
Kwahiyo sio muda utakuwa single?