This guy sounds like someone I used to know. Huwa hawabadiliki hao watu wa hivyo.. hata akifika 47 atakuwa hivyo hivyo... pole sana.
Mpe muda kama habadiliki tupa kule.
Ila kama wewe ni mtu wa sala jifungie, piga goti, mlilie Muumba wako kwake hakuna lisilowezekana.
Pole sasa dada, ni changamoto za maisha.Lakini wangu naomba tuangalie point kadhaa
(a) umesema huna kazi na upande mwingine unatwambia huwa anakuomba hela ya matumizi, mpaka na simu kachukua..hiyo hela we unaitoa wapi..unaomba omba kama yeye? if so tofauti yenu iko wapi? ooh nisamehe we ni mwanamke una haki ya "kuomba omba"
(b)anapandaga daladala bila nauli: unaamini katika hilo?..mmiliki wa daladala ni mjombake au?
(c). anamuomba hadi mamake hela..some families have been built to support each other in thru good and bad times...simsupport jamaa yako kujiendekeza lakini kama umetamka kumuomba mama hela kama kitu unthinkable, umekosea
(d) akipiga simi usipopokea unakuwa na udhuru gani? Bahati nzuri wanawake mnajulikana kwa matumizi ya simu..its like second skin to you..dakika kumi nyingi lazima utakuwa umeishaiangalia simu yako..kama anapiga hupokei na baada ya masaa matatu ndo unakuja na "honey ndo nimeona missed cal" jamaa ana haki ya kukufikiria vibaya
(e) msichana wa miaka 28..my dear msichana kwa jinsia sawa..kwa umri wewe ni mwanamke.
(f) yeye kutokana na umri kwenda...unadhani kuna tofauti yoyote kati ya mwanamme mwenye miaka 34 ambaye hajaoa na mwanamke mwenye miaka 28 ambaye hajaolewa? hebu fikiria tena..miaka 2 ijayo utakuwa past marrying age!!!
I'm questioning myself abt your avatar!
it looks sexy!:eyebrows:
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe
Hali zenu wana Jamii forum naombeni ushauri wenu,
Mimi ni msichana wa miaka 28 nina degree Bcom,boyfriend wangu ana miaka 34 ni mwalimu serikalini.tulipoanza uhusiano nilikua mpweke tukaingia kwenye mahusiano,yeye kutokana na umri kwenda anatafuta mtu wa kuoa.
Huwa anagusia kuhusu ndoa mi namwambia kwanza ajiandae kimaisha either asome afikishe level ya degree au kama ana njia mbadala ya maisha, cause kama mimi sina kazi ni ngumu kuishi kwa kutegemea mshahara wake nikajipa mahope mayb nitulie nae ipo tu siku atawini maisha kila siku namkazania asome au abadili kazi navyomuona mwenzangu hana haraka ya kukazana kimaisha.
Kinachoniboa hua ananiomba hela ya matumizi wakati mwengine hadi nauli anaomba,sim yake katupa anatumia yangu na aliniambia sometimes anapandaga daladala bila nauli,jamani mtu gani wa kuanza nae maisha huyu? Natamani nimuache ila ntaanzia wapi,kumpenda nampenda ila maisha yanamshinda hua anamuombaga hadi mama yake ela, msinitukane mnishauri.alafu ana wivu mpaka nakosa amani akipiga simu nisipopokea kanuna.
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe[/QUOT
Mi nina kazi na kamshahara nakokapata kananitosha nashukuru Mungu
Mungu amesikia kilio chako. Ni-PM namba yako. Mimi sitakutegemea, wewe ndo utanitegemea mimi.
i mean it a little.. hahahaa!let me see if u mean it!!
by the way long time hujaonekana mkubwa!!
Yeye Angekua Na Kazi Wewe Husingemtegemea?