Lazima tuwasanue wadogo zetu wa kiume. Hawana wa kuwapa miongozo, hawana wa kuwatetea na wakipotea kimaisha hawana wa kuwaokoa wanaishia kuwa laughing stocks kwa kifupi mamlaka, sheria, asasi za kiraia na mifumo yote ya kidunia imemtenga mtoto wa kiume kwaiyo ni jukumu letu mabroo kuwafungulia code mapema.
Sio kazi rahisi maana kuna wanaume wenzetu masimp, nice guyz na pussy driven watatupinga, kuna wanawake watatusakama maana tunaalibu masilahi yao. Kivyovyote lazima neno limfikie kila kijana wa kiume.