Boxing: Anthony Joshua apigwa na kuvuliwa mikanda yake na Andy Ruiz Jr

Kuna tofauti kubwa saaana kati mwana ndondi mwenye kipaji yaani tokea utoto yeye anajua kupigana mitaani na katika mechi.
Na yule mwenye misuli aliyetengenezwa kupitia lishe na gym na kufundishwa kupigana.
Ruiz na wakongwe wa masumbwi kama akina Tyson,Muhamad Ali,Freizer,Foreman na wengineo hao ni Natural fighters sio industrial fighters kama Joshua na klistcho n.k.
Ukipigana na Natural fighter uwe una Jab halafu unakimbia .. ukipigana nipe nikupe lazima Natural fighter anashinda awe bonge au njiti maana natural gifted talents ni lazima aje tu piga nikupige.
 
Anthony Joshua Opens Up About Ruiz Loss, Reacts to Tyson Fury’s Supportive Words
 
Ha ha ha ha ha ha , acha nicheke tu hata nguvu ya kuandika thread vizuri sina kwa furaha ya ajabu niliyoipata baada ya haka kajamaa ka AJ kuchakazwa vibaya mno , sasa akipigana na wilder si atafia ulingoni kabisa.

Nilitaka nikuite kumbe umeshafika
 
hatari sana
Kuna tofauti kubwa saaana kati mwana ndondi mwenye kipaji yaani tokea utoto yeye anajua kupigana mitaani na katika mechi.
Na yule mwenye misuli aliyetengenezwa kupitia lishe na gym na kufundishwa kupigana.
Ruiz na wakongwe wa masumbwi kama akina Tyson,Muhamad Ali,Freizer,Foreman na wengineo hao ni Natural fighters sio industrial fighters kama Joshua na klistcho n.k.
Ukipigana na Natural fighter uwe una Jab halafu unakimbia .. ukipigana nipe nikupe lazima Natural fighter anashinda awe bonge au njiti maana natural gifted talents ni lazima aje tu piga nikupige.
 
Niliacha Kufuatilia Mchezo wa Masumbwi hasa ile miaka ya akina Tyson na Evander ila hapa Juzi kati nilipokuwa nikitizama sana TV1 na Kuangalia Mapambano ya huyu Bondia Antony Joshua kiukweli hata kama Jana amepigwa huko ila amenifanya nianze tena kuwa Shabiki wa Mchezo wa Masumbwi kwani Antony Joshua ni Bondia mzuri sana na ameiga vyema mno nyayo za Mike Tyson na Lenox Lewis, ana ' Endurance ' ya hali ya juu, Mjanja awapo Ulingoni ila Kikubwa zaidi anachonivutia nacho Antony Joshua ni kwamba ana Nidhamu ya hali ya juu, hana Maringo na ana ' Spirit of Sportsmanship ' ya ukweli kabisa. Nampongeza pia na huyo Bondia Ruiz kwa Kushinda na nadhani huu utakuwa ni mwanzo mwema / mzuri Kwake na Yeye sasa kuwa ' Mbabe ' wa dunia baada ya Joshua ' Kutawala ' kwa Kipindi kirefu.
Dogo uliyosema ni ukweli ila mengi uliyoyasema in mahaba kuliko uhalisia
 
Safi sana..!
Nimefurahi kinoma yaani..!
Huyu Anthony Joshua kwangu ni overrated boxer,mapambano yake ya uwanja wa nyumbani ndio yanambebaga...
Huyu ilibidi ale kipigo tangu kwenye pambano alilopigana na Klitchko..!

Tuko pa1 mkuu. Hawa na wamarekani huwa wanabebwa sana makwao, hata ile game ya Pac na Mayweather. Waliniuzi sana
 
Dogo uliyosema ni ukweli ila mengi uliyoyasema in mahaba kuliko uhalisia

Wengine wanampenda kwa sababu ya rangi yake. Lakini tukiweka pembeni huu ujinga, Ruiz ni kiboko yao kamnyoosha kisawasawa mmwebwaji huyo.
 
Yaani Chi chi Chibonge ,kamkalisha Joshua ,sasa angekutana diontay si angeua .Mimi mwenyewe nilikuwa namkubali Joshua na jana mikeka ya watu imechanika na wale wazee wa kujilipua waliompa Chibonge wamepiga mkwanja mrefu sana.

Mnigga kadundwa mammae. Next round naombea adundwe mpaka azimie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom