Boxing: Anthony Joshua apigwa na kuvuliwa mikanda yake na Andy Ruiz Jr

Kuna people jana zilikua zinaleta maneno kwamba AJ hapigiki?
Mwambieni ajipange upya TKO ya 22
 
Andy Ruiz anarekodi nzuri sana katika mapambano yake,kabla ya ushindi dhidi ya Joshua alikuwa amecheza michezo 33,akishinda michezo 32,kwa Knockout ikiwa 21 na kupoteza mchezo 1 tu,hivyo amestahili kushinda.
 


Anthony Joshua Reacts to Shocking Defeat at the Hands of Andy Ruiz Jr
 
Safi sana..!
Nimefurahi kinoma yaani..!
Huyu Anthony Joshua kwangu ni overrated boxer,mapambano yake ya uwanja wa nyumbani ndio yanambebaga...
Huyu ilibidi ale kipigo tangu kwenye pambano alilopigana na Klitchko..!
Kweli kabisa. Sema England wanapaisha sana watu wake. Mimi huyu huwa namuona anauwezo mdogo sana. Ile sikuile na Klitchiko sijui mzee alikosea wapi lakini AJ alikuwa amepotea kabisa.
 
Safi sana..!
Nimefurahi kinoma yaani..!
Huyu Anthony Joshua kwangu ni overrated boxer,mapambano yake ya uwanja wa nyumbani ndio yanambebaga...
Huyu ilibidi ale kipigo tangu kwenye pambano alilopigana na Klitchko..!
Hiyo mechi iliniuma sana, jamaa akiwa nyumban huwa ana advantage.
 
Safi sana....
Hawa mabondia wanaambatana na kushabikiwa na mastaa huwa wanakuwaga na gubu sana

Ova
 
Kweli kabisa. Sema England wanapaisha sana watu wake. Mimi huyu huwa namuona anauwezo mdogo sana. Ile sikuile na Klitchiko sijui mzee alikosea wapi lakini AJ alikuwa amepotea kabisa.
Siku ile Klitchko alijisikia vibaya sana aisee..!
 
Ni mara kumi ningeangalia ili pambano kuliko ile final ya Liver na Spurs. mpira ulichezwa utasema wachezaji walikuwa wajawazito bana..
 
AJ ni boxer mzuri ila alimchukulia poa sana Andy Jr .. time changes huwezi kua champion milele watu wanakuja na new fighting skills everyday
You are right,mimi ni fan wa AJ lakini nimeshangazwa kuona mtu mwenye msuli uliosimama jinsi anavyosambaratishwa na bonge nyanya,yaani kama unavyosema its all about imposing new fighting skills,kwani AJ alitaka kuendeleza upiganaji ule ule tuliouzoea kumpa ushindi,kumbe wenzake walisha mstudy na kuinvent skills za kuweza kummaliza...
 
Hahahaha AJ kafanya chaguo mbaya, afu alipotea kisaikolojia, huyu AJ hawezi shinda dhidi ya Tyson Furry wala Wilder , hahaha mexicana , let's go baby Andy Ruiz Jr new champ in town with biggest KO at round 7

Wazee wa ngada hao sio mchezo, anafkili wala mayai kama yeye 🤣🤣🤣 na kubebwa juu.
 
Safi sana👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 Destroyer kwa kutupigia uyo mzungu mweusi. Washazoea kubebwa huko kwao jana amekalishwa na mzee wa NGADA mwanaume perfect.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom