shilingi 5,600,000/-TZS
inakuwa na usajili pamoja na plate namba ya njano
free 3 service yani kila baada ya kilometa 750 na ukianza na 750 yenyewe kisha 1500 na ya tatu ni 2500 ama 3000
kuna garentiii ya miezi 7 kwa chochote kitakacho aribika ama leta tatizo na ikionekana akitengenezeki unabadilishiwa chombo unapewa nyingine.
karibu.