Peleka kwenye makaa ya mawe Ruanda Mbinga ila hakikisha lina uwezo wa kupanda milima.Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck),
Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu kutokana na kuingia hizi tipa za kichina,
Nimeonelea niibadili iwe box body ya kubeba mizigo kwenda mikoani,
Naomba mwenye ujuzi na biashara hiyo ya box body anifahamishe kabla sijafanya uamuzi wa kulivua tipa.
Naomba vilevile kama ninaweza kujua gharama za kutengeneza box body, na lipi ni zuri kati ya box body na body lililo wazi , ambalo unaweza kubeba mifugo toka mikoani,
Gari langu ni SCANIA 114 340
Ahsanteni Waungwana
Nimekuelewa Matola,Peleka kwenye makaa ya mawe Ruanda Mbinga ila hakikisha lina uwezo wa kupanda milima.
Ahsante sana Abou,Box body itakufaa sana kubeba viaz chumvi hata vitunguu ni wazo zuri ila bei ya hiyo body sasa, ulizia daslamu huko ila nadhan ni M20 hiv inaweza zid au pungua
ikiwa ya wazi juu itakuwa bora zaid kwasababu utatafuta turubai kwaajili ya mizigo ambayo haitakiwi kulowa pia unaweza beba mifugo kam ulivyotaja hapo juu ng'ombe vyote utafanya kwa gari moja.Ahsante sana Abou,
Vipi hiyo box body, iwe ni ile ya wazi juu au iliyofungwa kabisa juu,?
?
Kama una mpango wa kuja kuvuta trela baadae jenga box body.. ila kwa kazi mchanganyiko jenga open body. Karibu KIMATARE GARAGE moshi kwa kazi nzuri na ya wakati. Bei ni m19 body rangi na kuirefusha kidogo ili iwe na urefu sahihi na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa(volume)Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck),
Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu kutokana na kuingia hizi tipa za kichina,
Nimeonelea niibadili iwe box body ya kubeba mizigo kwenda mikoani,
Naomba mwenye ujuzi na biashara hiyo ya box body anifahamishe kabla sijafanya uamuzi wa kulivua tipa.
Naomba vilevile kama ninaweza kujua gharama za kutengeneza box body, na lipi ni zuri kati ya box body na body lililo wazi , ambalo unaweza kubeba mifugo toka mikoani,
Gari langu ni SCANIA 114 340
Ahsanteni Waungwana
Mkuu FAW na zile TATA zimewapa changamoto gani?Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck),
Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu kutokana na kuingia hizi tipa za kichina,
Nimeonelea niibadili iwe box body ya kubeba mizigo kwenda mikoani,
Naomba mwenye ujuzi na biashara hiyo ya box body anifahamishe kabla sijafanya uamuzi wa kulivua tipa.
Naomba vilevile kama ninaweza kujua gharama za kutengeneza box body, na lipi ni zuri kati ya box body na body lililo wazi , ambalo unaweza kubeba mifugo toka mikoani,
Gari langu ni SCANIA 114 340
Ahsanteni Waungwana
Tatizo kubwa au changamoto tunayopata ni uwezo wa HOWO AU FAW ktk ubebaji wa Mchanga,Mkuu FAW na zile TATA zimewapa changamoto gani?
RRONDO,Mkuu FAW na zile TATA zimewapa changamoto gani?
Ahsante kwa ushauri wako, bahati nzuri nimeitiwa body nikalitazame kwa bei ya chini kidogo,Kama una mpango wa kuja kuvuta trela baadae jenga box body.. ila kwa kazi mchanganyiko jenga open body. Karibu KIMATARE GARAGE moshi kwa kazi nzuri na ya wakati. Bei ni m19 body rangi na kuirefusha kidogo ili iwe na urefu sahihi na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa(volume)
Nimekuelewa vizuri sana.Tatizo kubwa au changamoto tunayopata ni uwezo wa HOWO AU FAW ktk ubebaji wa Mchanga,
Wateja wanahitaji Mchanga mwingi , hashasa wa kupiga tofali , anataka apige tofali nyingi zaidi,
Na lingine gari za kichina nyinyi zinakuja mpya, kwa hiyo haziharibiki mala nyingi , kulingana na barabara tunazopita, sasa wenyewe hawana changamoto za gari zao kuharibika, ingawa na zenyewe siku moja zitachoka.
Swali la ndani kidogo. Kwa siku hesabu ni kiasi gani ? Iwe mende au Howo au FAW? Nimevutiwa na Howo au Tata naamini kwasababu litakuwa jipya hakuna longolongo.Tatizo kubwa au changamoto tunayopata ni uwezo wa HOWO AU FAW ktk ubebaji wa Mchanga,
Wateja wanahitaji Mchanga mwingi , hashasa wa kupiga tofali , anataka apige tofali nyingi zaidi,
Na lingine gari za kichina nyinyi zinakuja mpya, kwa hiyo haziharibiki mala nyingi , kulingana na barabara tunazopita, sasa wenyewe hawana changamoto za gari zao kuharibika, ingawa na zenyewe siku moja zitachoka.
Achana na TATA chukua HOWO, FAW au SHACMANSwali la ndani kidogo. Kwa siku hesabu ni kiasi gani ? Iwe mende au Howo au FAW? Nimevutiwa na Howo au Tata naamini kwasababu litakuwa jipya hakuna longolongo.
Asante mkuu.Achana na TATA chukua HOWO, FAW au SHACMAN
HOWO, FAW, SHACMAN (20m³) hesabu ni 400,000-500,000 kwa siku
SCANIA mende 300,000
Moshi mko poa sana na hzi kaziKama una mpango wa kuja kuvuta trela baadae jenga box body.. ila kwa kazi mchanganyiko jenga open body. Karibu KIMATARE GARAGE moshi kwa kazi nzuri na ya wakati. Bei ni m19 body rangi na kuirefusha kidogo ili iwe na urefu sahihi na uwezo wa kubeba mzigo mkubwa(volume)
Tatizo kubwa au changamoto tunayopata ni uwezo wa HOWO AU FAW ktk ubebaji wa Mchanga,
Wateja wanahitaji Mchanga mwingi , hashasa wa kupiga tofali , anataka apige tofali nyingi zaidi,
Na lingine gari za kichina nyinyi zinakuja mpya, kwa hiyo haziharibiki mala nyingi , kulingana na barabara tunazopita, sasa wenyewe hawana changamoto za gari zao kuharibika, ingawa na zenyewe siku moja zitachoka
Kama utabeba mifugo, liwe wazi juu.Ahsante sana Abou,
Vipi hiyo box body, iwe ni ile ya wazi juu au iliyofungwa kabisa juu,?
?
Changamoto kubwa ni simu za usikuAhsante kwa ushauri wako, bahati nzuri nimeitiwa body nikalitazame kwa bei ya chini kidogo,
Likinifaa nitalichukua.
Kama hutajali , je kuna changamoto yoyote ya Biashara ya box body kulinganisha na gari ya mchanga,
Naomba ushauri wako