hawa ndo viongozi wa africa, wegi ni virema yaani hawawezi kusimama na miguu yao wenyewe. wengi wameolewa na wamagharibi hivyo hawawezi kuwasaliti kamwe mabwana zao. tatizo hili lilianza toka enzi za ukoloni, maana aliyekuwa akiwatesa waafrika ni mwafrika aliyetumwa kufanya hivyo na mzungu na mara nyingine alikuwa anajiamlia yeye mwenyewe kuwatesa waafrika wenzake ili aonekane bora. huu ni ujinga wafe kabisa watu hawa.