Anatia aibu!
Sijui katiba yao inasemaje kuhusu hili!
Kwa haraka haraka mimi naona huyu bwana hafanyi kazi kabisa kwenye yale maeneo, hivyo anaona aibu kuoa.
Botswana President Khama Ian Khama, a retired army general, has numerous medals on his chest. But he doesnt have a ring on his finger.
The 57-year-old leader is probably Africans highest-profile bachelor. Botswana could be among the few African countries if any without a First Lady.
Mr Khamas marital status has been a source of national concern with his countrymen questioning whether he believes in the institution of marriage. For a long time, President Khama did not seem to agree with the adage that behind every successful man there is a woman.
Now it is a tall order for his aides who have been sent out to find a tall, slender and good-looking woman in a country where women are known for being heavily built.
In addition to being president, Mr Khama is a paramount chief of the Bamangwato people, the largest ethnic group in Botswana. This responsibility requires him to marry, but the President has defied tradition.
According to the BBC, although made a chief in 1979, Mr Khama has never assumed the responsibilities of traditional leadership in his village.
more
Daily Nation:*- Africa*|Help me find a slim wife, bachelor president appeals
nikiangalia hizi bidhaa natamani kulia ati.
Wakati mwingine ni vizuri alivyo peke yake kuliko apate mke halafu aanze kuendesha nchi.
Akipitia jukwaa la MMU hataweza kukosa (ila wengi mle wameenda sana mileage halafu wana hasira sana lol)
Waswana huwa hawafungi ndoa - For sure lazima ana-girl friend(s)
Ratio ya wanaume kwa wanawake ni 1:2; hivyo kufunga ndoa inamaana unawanyima wengine (wanawake wengine) uwezekano wa kupata mume. Waswana wengi hawaoi na hata kuolewa kwani ukiolewa ujue huyo mume siyo wa kwako mwenyewe. Wengi watataka huduma yake, sasa kuna haja ya kufunga ndoa uka-mu- appropriate? wengine watakosa! mmm. Inawezekana ndiyo maana jamaa mpaka umri huo alikuwa anachakachua tuu! Inawezekana ndiyo maana alikuja Tz (Mtwara) wakati fulani labda kutafuta mke toka TZ?:A S crown-1:
he heee wana hasira za nini???...hii kali
To me there are only two reasons for him being single at 57.Either he is impotent or has very serious cycological problems.I surely would not advice any lady to be married by him.After all mazoea ya bachelorhood yenyewe ni tatizo.Unless ofcourse one goes there for money.
na ukimwi unawatafuna kama hauna akili nzuri
msome nyamayao and co.
Wakati mwingine ni vizuri alivyo peke yake kuliko apate mke halafu aanze kuendesha nchi.
Huyu Presdaa Khama anajuwa matatizo ya kuoa huku nchi ikiwa na matatizo kibao. Aliamua ku-concetrate na kujenga uchumi wa nchi yake na kuondoa umasikini siyo kufikiria matatizo ya familia na kubofya bofya. Nadhani alikuwa ana muda mwingi wa kupitia mikataba ya madini na kuirekebisha kabla ya kuisaini ndo maana Botswana wamepiga hatua ya kweli kimaendeleo, tofauti na huku kwetu, mtu anasaini mkataba hata hajui umeandikwa nini ili akimbie akabofye kizenji!