Botswana: Mahakama yahalalisha ushoga

nasrimgambo

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Messages
693
Points
1,000
nasrimgambo

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2017
693 1,000
Dah nimeshtushwa na majibu yako kwa hyo unataka ushoga uwepo vp siku ukikuta mwanao wa kiume anapumuliwa kisogon na njemba utafurahi mkuu
sasa kama ni homosexual nitafanyaje na ni ndivyo alivyo. la msingi ajiheshimu tu. ila ni jambo lisilowezekanika kumbadili alivyo. tatizo litakuwepo kama atakuwa hajiheshimu
 
faru john junior

faru john junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Messages
1,400
Points
2,000
faru john junior

faru john junior

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2016
1,400 2,000
Wazungu wajanja sana wanamega kipande kipande mpka wote mjae kwenye kapu moja afu ndo wanawaacha
 
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Messages
1,196
Points
1,250
B

Balacuda

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2013
1,196 1,250
Kwa maana wataendelea kutoka uovu hadi uovu
Mahakama imesema kifungu cha sheria kilichokuwa kikitoa hukumu ya kifungo cha hadi miaka 7 jela kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia kuwa kinakiuka katiba ya nchi hiyo

Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo amenukuliwa akisema kuwa suala la kuzuia mapenzi ya jinsia moja halina maslahi ya umma ya nchi hiyo

Akitoa hukumu hiyo, Jaji Michael Leburu amehoji iwapo kuna umuhimu wowote wa kuwepo kwa kifungu cha sheria kinachozuia matendo hayo
-
Jaji Leburu ameenda mbali zaidi na kusema kuwa Serikali haiwezi kufuatilia matendo ya vyumbani kwa Wananchi wake

=====

In a victory for queer people in Botswana, the Gaborone high court on Tuesday ruled sections of Botswana’s Penal Code which criminalises same-sex sexual conduct unconstitutional.

Certain sections of the penal code impose a maximum sentence of seven years imprisonment for consensual same-sex relations.

The court, however, ruled these provisions “discriminatory because they take away the only means of sexual expression of the applicant”.

According to Christian Science Monitor correspondent Ryan Lenora Brown, who was at the court on Tuesday, judge Michael Leburu said that it is “not in the public interest” to criminalize same sex sexual conduct.

“What compelling public interest is there necessitating such a law? There is no victim.”

The judge added: “The state cannot be sheriff in people’s bedrooms.”

A Human Rights Watch report written by Alok Gupta, titled This Alien Legacy — The Origins of “Sodomy” Laws in British Colonialism, found that Section 377 was “a model law” introduced by the British in 1861 and then exported to its other colonies.

The report argued that many of the countries that outlaw same-sex relations do so “because they once were British colonies”.

“They brought in the legislation … because they thought ‘native’ cultures did not punish ‘perverse’ sex enough. Section 377 was … a colonial attempt to set standards of behaviour, both to reform the colonised and to protect the colonisers against moral lapses. It was also the first colonial ‘sodomy law’ integrated into a penal code… Its influence stretched across Asia, the Pacific Islands and Africa — almost everywhere the British imperial flag flew.”


The list of African countries that inherited versions of this law is expansive: Botswana, Gambia, Ghana, Kenya, Lesotho, Malawi, Mauritius, Nigeria, Seychelles, Sierra Leone, Somalia, Swaziland, Sudan, Tanzania, Uganda, Zambia and Zimbabwe.

The judgement in Botswana comes on the heels of a very different judgement in Kenya, where the colonial-era laws against homosexuality were upheld. In what is being described as “a blow for human rights”, the Kenya high court found last month that laws targeting lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex (LGBTI) people do not breach the country’s Constitution.

In delivering judgment, the court however ruled that, because “the sexual orientation of a person is their right to privacy … societal norms of heteronormativity cannot overrule the right to privacy”. It also found that LGBTI people have been shunned from accessing health services, which in turn intrudes on their dignity.

“Sexual orientation is innate to human beings and is not a fashion statement,” the court stated. “Homosexuality is not unAfrican, but it is one other way Africans identify but have been repressed for many years.”

It added that “sodomy laws deserve a place in the museum or archives and not in the world.”

In welcoming the decision Tashwill Esterhuizen, Lesbian, Gay, Bisexual and Transgender and Sex Workers Rights

Yeremia 9: 2 “……..Kwa maana walienda kutoka ubaya mpaka ubaya, nao walinipuuza hata mimi,”+ asema Yehova2 Timotheo 3:13

13 Lakini watu waovu na wadanganyifu watazidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika.
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
3,676
Points
2,000
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
3,676 2,000
Hii lazima itupe hofu kwani kama nchi tajiri kama Botswana wameshasukumwa ukutani sasa wachovu kama Tanzania itakuwaje. It's very dangerous.
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
8,042
Points
2,000
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
8,042 2,000
Wazungu wametoka wapi hapo wakati ni maamuzi huru ya mahakama kuu ya Botswana!!???
Mkuu ningeshangaa sana kama uzi huu ungekupita. Niseme tu wazi huwa sikuamini nyendo zako. Unaweza kufurahia huu ushetani pasipo kufahamu madhara watakayoyapata wajomba zako means watoto wa dada zako
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,062
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,062 2,000
Mkuu ninheshangaa sana kama uzi huu ungekupita. Niseme tu wazi huwa sikuamini nyendo zako. Unaweza kufurahia huu ushetani pasipo kufahamu madhara watakayoyapata wajomba zako means watoto wa dada zako
Mimi ndio ninaowaleta mashoga?
 
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,739
Points
2,000
Liwagu

Liwagu

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,739 2,000
Huyo jaji anaweza kuwa anagongwa pia
 
nyakandula

nyakandula

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Messages
906
Points
1,000
nyakandula

nyakandula

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2016
906 1,000
Haya mashoga wote wakahamie botswana
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,015
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,015 2,000
Itafikia hatua Mwanaume kutolawitiwa ataona ndio ushamba kama ilivyofikia Mwanamke kutovaa Suruali au kuweka madawa kwny Nywele kuwa ni ushamba

Trump ametangaza ataongoza kampeni kali sana ya ku de criminalize Ushoga
Ma US BABIES sijui wanalizungumziaje hili Frank Wanjiru Nyani Ngabu ze-dudu
 
nasrimgambo

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Messages
693
Points
1,000
nasrimgambo

nasrimgambo

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2017
693 1,000
Itafikia hatua Mwanaume kutolawitiwa ataona ndio ushamba kama ilivyofikia Mwanamke kutovaa Suruali au kuweka madawa kwny Nywele kuwa ni ushamba

Trump ametangaza ataongoza kampeni kali sana ya ku de criminalize Ushoga
kwani mwanmke kuvaa suruali kuna tatizo gani?
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
20,337
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
20,337 2,000
kwani mwanmke kuvaa suruali kuna tatizo gani?
Miaka 50 baadae kuna wanaume nao watauliza kwani Mwanaume kutokuwa na Malinda kuna tatizo gani?

Rejea historia ya Dunia nzima sio Africa Dunia nzima ujue vazi la Asili la Mwanamke ni lipi?
 
bokilo

bokilo

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Messages
140
Points
250
bokilo

bokilo

Senior Member
Joined Nov 30, 2015
140 250
Mashoga wa humu jf watakua wanafurahia huu ushetani

Hao majaji nao ni machoko mtu una familia watoto na mwenye hofu ya mungu,utamaduni,na unaweza hatma ya jamii huwezi ruhusu mambo ya kisengerema kama hayo maana mtu mwenye utimamu wa akili hawezi ruhusu
Ndio imeshapita hiyo
 

Forum statistics

Threads 1,307,080
Members 502,332
Posts 31,601,025
Top