Botswana ni nchi yenye viongozi makini na wenye kujali nchi yao na wananchi wao, Sishangai kwa hilo kwani hata Mugabe aliuonja moto wa Botswana. Viongozi wa Botswana ni wenye busara na hekima kuliko ma-criminal wote wanaijifanya viongozi kumbe ni wanafiki kama Fisadi wetu Kikwete ni Mnafiki asiye na haya. Botswana ni nchi inayoheshimika kuliko nchi zote Africa.