Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 744
- 660
ni noti mpya mkuu
hapana mkuu hizo ni noti mpyaKwenye huo mkanda unaong'aa ndipo kuna utofauti na pesa halali
Me binafsi hata sielewi kama n mpya au feki nashangaa tuu kama wengine wanavoshangaahapana mkuu hizo ni noti mpya
Pesa halali ni ipi?Kwenye huo mkanda unaong'aa ndipo kuna utofauti na pesa halali
Wanazoziita feki zinakuwa na neno BOT lakini tulizozoea hazina hilo neno nadhan panang'aa tuuPesa halali ni ipi?
Hio yako bandia. Ule mstari wa dash kule pembeni unaanzia juu sawa na maandishi BENK KUU YA TANZANIS na chini hauingiliani na tarakimu 10000Habari wakuu,
Katika hali isiyo ya kawaida leo nimeenda tigo pesa kufanya muamala pesa niliokabidhiwa na mtu wangu wa karibu kama malipo ya jambo kwa mshangao mkubwa noti nilizotoa za elfu10 tatu dada wa tigo pesa akaniambia hizi fedha ni bandia na zipo nyingi kama hizi kwa Sasa nikajiuliza kweli ndugu yangu mimi naemjua anaweza kunipa ela bandia kwa hasira nikampigia simu nikihamaki ila mara mbili mbili nikinusa noti zina harufu ya fedha kwa hasira nikampigia mshkaji baada ya kumwambia kwa mshangao akaniambia skuizi na mimi ni mjinga ametoka ku draw pesa ATM mda sio mrefu kwahyo ATM sikuizi wanaweka fedha bandia. kiukweli sipo comfortable na hizi fedha kwa sasa mpaka nipate uhakika zaidi wa kuzitumia kwa usalama wangu.
Rai yangu kwa serikali kupitia wizara husika, Kama kweli hizi fedha ni halali nitoe wito na rai kwa serikali kupitia wizara husika naona ni vyema inabidi kabla ya kubadili kungekuwepo na utaratibu ili watumiaji wafahamu mabadiliko.
Na kama sio fedha halali basi serikali iwe makini kwenye hili maana huwezi kutofautisha kwa urahisi huu mfanano. Utofauti unaonekana kwa haraka kwenye utepe uliopita pembezoni kulia. N.B Angalia sign ya waziri&Gavana huenda there is changes.View attachment 1408165
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii noti yako π na yangu πHabari wakuu,

Sio kweli, soma tena barua mkuu, utakuwa hujaielewa vizuri hiyo barua au Kimalkia kinakupiga chenga!Kadri ya barua toka BOT kilichobadilika ni saini ya waziri na gavana lakini security features zingine zote ni zilezile,
Mbona hizo picha ni noti moja sioni tofautiHii noti yakona yanguView attachment 1408261Ukiangalia kwenye huo utepe hapo kulia na saini ya waziri wa fedha na gavana... kuna utofauti,
Mkuu Wewe ndio utakua umepigwa sio mimi..
Kwa hiyo nawe uliwaamini ?Zina uwezo wa kuua Corona virusi kama hizi za sasa hivi?