Simkatishi mtu tamaa ila hizo kazi tayari zina wenyewe ambao ni watoto wa vigogo.Kuitwa kwenu ni kukamilisha ratiba tu ili wasionekane wamevunja sheria ya ajira.
Uncle unaitwa ila usikii,ebu tega sikio vizuri ondoka kwenye kelele hapo.mjomba BOT kuna wenyewe napajua nilipewa tempo pale mwaka 2006 enzi izo AIC alikuwa Liyumba, na mwenzake Project manager DDKweka. mimi mwenyewe nilishikwa mkono basi ila BALALI ndo aliharibu picha bosi akapigwa chini na mimi mwenyewe Chaliii