talentizo JF-Expert Member Mar 11, 2014 461 115 Jan 31, 2016 #1 Mwez decemba mlisema mmekusanya 1.4 tri na sasa tri matumiz unasema bill 300 Attachments 1454228057563.jpg 44.3 KB · Views: 24 1454228078937.jpg 34.4 KB · Views: 21
Ritz JF-Expert Member Jan 1, 2011 50,059 39,540 Jan 31, 2016 #2 Huu uzi wako unakuwa kama unamuandikia jamaa yako text sms fafanua vizuri watu wakuelewe.
talentizo JF-Expert Member Mar 11, 2014 461 115 Jan 31, 2016 Thread starter #3 Nimeattach hapo si umeona taarifa zinatofautiana,,,wamekusanya 1.4 thn wanasema wametumia bill mia tatu,,,,
Nimeattach hapo si umeona taarifa zinatofautiana,,,wamekusanya 1.4 thn wanasema wametumia bill mia tatu,,,,
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,368 50,737 Jan 31, 2016 #4 Nyingine zina kazi hizo billion ni kwa ajili ya matumizi katika miradi
H HEKIMA KWANZA JF-Expert Member Mar 31, 2015 2,942 3,937 Jan 31, 2016 #5 talentizo said: Mwez decemba mlisema mmekusanya 1.4 tri na sasa tri matumiz unasema bill 300 Click to expand... Umesahau malipo ya lile deni alilotuachia Vasco?
talentizo said: Mwez decemba mlisema mmekusanya 1.4 tri na sasa tri matumiz unasema bill 300 Click to expand... Umesahau malipo ya lile deni alilotuachia Vasco?
talentizo JF-Expert Member Mar 11, 2014 461 115 Jan 31, 2016 Thread starter #6 Vasco hahahahah,,,poa bhasi wakikipa waseme pesa nyingine tumepeleka huko,,,maana naona walioilipot hata robo haifiki
Vasco hahahahah,,,poa bhasi wakikipa waseme pesa nyingine tumepeleka huko,,,maana naona walioilipot hata robo haifiki