cheichei2010
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 932
- 350
mie sie mchumi mzuri,lakini picha ninayo jaribu kuipata hapa,ni kwamba chakula ni muhimu kwasababu,mafuta hata bei ikibadilika itakuwa reflected kwenye hiyo bei ya chakula,hivyo sidhani kama ni sahihi kutotumia chakula.pili chakula ni kitu muhimu kwa kila mtu na ni lazima tule.ila tuangalie katika mazingira yetu ni kipi kinagusa sehemu kubwa ya jamii.