Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

vetting ni nini?
 
Mimi kwenye katiba mpya nilikuwa napenda kuwepo na vetting pindi wateuliwapo viongozi waandamizi na hiyo vetting ifanywe live kupitia runinga ili wananchi tujue.
 
serikali pumbav zaidi kuwahi kutokea ulimwengu huu,prof. wetu wa kichina kavunja record ya udhaifu sasa
 
Bendera ya Tanzania iongezwe rangi nyingine maana hii nyeusi inawabagua watu hawa...wahindi,waarab nao wawe na utamburisho rasmi kwenye tunu na bendera ya Taifa.
 
mkuu upo sahihi kabisa, unasemaje kuwa huyu salah ndio waziri ajaye wa foreign affairs chini ya Rais membe?
 
Ama kweli akumulikae mchana usiku hukuchoma na tukiambiwa hiyo nyumba tuhami na sisi hujibu tunataka amani sasa domo na ngonjera za nini tuwe kama kundi la vipofu na chongo kuwa mfaleme
 
This is an insult kwa vijana wetu waliosoma na wakasota pale chuo cha diplomasia na sasa tazama hii...

Shimbo amekuwa reduced to this....


Wacha ufataani wewe, kosa ni nini? hata huyo ni kijana wetu na kasoma.

Mbona wale wazungu na wachina waliopewa ubalozi wa hisani huwasemi? tena si Watanzania. Au macho yako yana makengeza?
 
Acha wivu wa kike Salaah kaenda shule na hapo Guangzhou anawasaidia sana watanzania wafanya biashara, mbona nyie mnaongozwa na Mbowe kidato cha 4.
 
wacha ufataani wewe, kosa ni nini? Ata huyo ni kijana weyu na kasoma.

Mbona wale wazungu na wachina waliopewa ubalozi wa hisani huwasemi? Tena si watanzania. Au macho yako yana makengeza?


haya waarabu wa pemba hao.........na china wamempa mh u profesa wa hisani.....hivi ni nani yule aliyepewa ubalozi wa hisani? Na alipewa na serikali ipi hii hii ya ccm?
 
Bendera ya Tanzania iongezwe rangi nyingine maana hii nyeusi inawabagua watu hawa...wahindi,waarab nao wawe na utamburisho rasmi kwenye tunu na bendera ya Taifa.
Wewe mwenyewe ukifuatiliwa sana tunaweza kukuta siyo mtanzania wazazi wako waliamia kwa mweusi siyo kigezo.
 
Kinachoniuma ni pale ambapo hata mambo ya kipuuzi kupata watu wa kuyatetea.
 
Hivi wale wazungu na wachina waliopewa ubalozi wa hisani mbona hamuwasemi? au macho yenu yana makengeza vingine mnaona vingine hamuoni?

Uko sahihi.Ubalozi mtu hapewi tu kwa kuwa ana vyeti vya elimu ya kibalozi tu unaangaliwa pia unaweza saidia nchi au wananchi kivipi.Waulize wafanya biashara wengi kuhusu huyu mtu.Kawainua kibao.Wengine CHINA walikuwa hawajui hata wanaanzia wapi kufanya biashara au kusafirisha biashara zao kawasaidia.

Mlitaka balozi wa kuhhuria dhifa za kitaifa kwenda kula pilau tu ikulu?

Ushauri wangu hata kwa DIASPORA hebu tafuteni kikubwa cha kuifanyia nchi yenu kama huyu ambaye ni kiunganishi kikubwa cha biashara na wafanyabiashara wa tanzania na china.Mkifanya nina uhakika siku zijazo hakutakuwa na haja ya kupeleka mabalozi toka dar es salaam.Mabalozi watapatikana huko huko diaspora waliko.
 
Hiyo skendo imethibitishwa wapi?

Tukiishi kwakuhukumu watu kwa skendo tu itakuwaje ktk jamii?

Tusiruhusu wivu...chuki...husda na vijiba vya roho vitawale nafsi zetu acheni kijana achape kazi anastahili...

Huna haja ya kubisha vitu vyenye ukweli. Fuatilia issue za kutoa makontena pale bandarini ma sakata la kampuni yap. Bifu na TRA umesahau au umejiunga leo JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…