Boss kuweka mshahara mezani

Duuh Asante nimeelewa sana.
 
Hahahaha hatari sana
 
Mode fanya heading iwe hivi:
Bosi, mwajiriwa na imani za hovyo hovo kuhusu pesa! [emoji41][emoji41][emoji23]
 
Uchochezi
 
Nachofaham akikupa mkononi baadae utakuwa una mafanikio kimaisha sababu alikupa kwa mkono ila akiweka mezani anamaana uendelee kutumwa tu
 
dah, fala we[emoji16]
 
Hizi ni zama za kutuma hela moja kwa moja kwenye akaunti ya benki au simu, habari za kupeana hela mkononi au mezani zishapitwa na wakati.
 
Chukua pesa kwa mkono wa kushoto weka kwenye mfuko wa kushoto nenda nayo chooni ikojolee kidogo uchawi wake wote unaiisha.

Uyo boss wako anacho kifanya ni kukunyang'anya bahati yako na iyo pesa usifanyie maendeleo ubakie kua mtumwa wake
Angalia km mshahara unakusaidia au raha utapata majibu
Mkojo ni dawa tosha ya uchawi wa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…