Boss ananiumiza kichwa

Haya jichimbie kaburi mwenyewe ila kumbuka heshima ni kitu cha bure hakinunuliwi dukani. So uta amua kutunza heshima yako na urafiki wako na mtoto wa huyo mama au ujivunjie heshima yako kwa tamaa zako.
 
Pima nae ngoma huyu mama endelea kuufuata Moyo wako wala usivunge .

Ikiwezekana mwambie hicho cha mwanae ili iwe siri bila Dogo kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…