Bosi kamganda Dangote Kaisahau Tiptop manzeseeee

Bosi kamganda Dangote Kaisahau Tiptop manzeseeee

Maskini. Kumbe revenge. Kweli nimeamini. He who laughs last laugh most.
Njia iliyotumika hapo ni
''Adui wa adui wangu ni rafiki yangu''
na ndipo eskarioti alipochukua dinari kadhaa na kwenda kumsaliti mkatoliki kwa waroma
 
Dokta mvungi ona Dah! Wakamzawadia jeneza, nipe kesi ya uchochezi nitaimba ndani ya gereza
kama mlimuua amina hapa kwangu chuma cha reli na home nimeaga na babu akanibless nije town nitetee wanyonge
 
Nimeelewaaa sababu ya babu kuwa mbele mbele kuonesha watu wapi mkutano utafanyika wa wasanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom