Bose music system

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Heshima na iwe kwenu wana wa jf
Naomba kujuzwa hapa kwetu tanzania kuna wakala wa hivi vifaa vya muziki vya kampuni ya BOSE?
 
Bose naona watu wanaisifia sana ila issue nyumba za kupanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wawezajikuta unapewa notisi kila unakohamia

hahahahah..na waswahili tusivyopendana...wacha tuu
 
Kama wewe ni mpenzi Wa kusikiliza mziki tu achana na Bose. Kwa wapenzi wa movie, surround sound ni OK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…