Bosco Ntaganda "The Terminator" amesepa!

Bosco Ntaganda "The Terminator" amesepa!

uongo,eti Bensouda alipokuwa admitted akaimba wimbo wa kifaransa

hii habari ipo blog(The Rwandan) peke yao
 
Kuna uongo mwingine haufai kusimulia kwa watu wenye akili timamu,hii hata shigongo mwenyewe ataikataa.
 
Nosense, hakitakuja kutokea kitu kama hicho.
 
Wabongo kwa kukubali/kuamini tu vitu hatujambo.
 
Kama kuna mtu anaamini habari hii japo kwa mbali basi tuna tatizo kubwa zaidi katika bongo zetu....umeambiwa kakata nondo kwa meno..bado unasema "kama ni kweli"!!
 
Kama kuna mtu anaamini habari hii japo kwa mbali basi tuna tatizo kubwa zaidi katika bongo zetu....umeambiwa kakata nondo kwa meno..bado unasema "kama ni kweli"!!

Hapo kwenye red mkulu..... inategemea nondo imetengenezwa kwa material gani...... labda ni material ya kutengenezea biskuti ndiyo yaliyotumika kujengea nondo za gereza alilofungiwa BN.
 
hahahaaaa lol i just love this piece of news!!
bashar kaua yote hahahaha.
the afrikan men nomaaa

really?
 
Bado hajanipata hata mimi simo humo!hii ni habri ya April 1 sio leo!
 
Bahati yako habari yenyewe umeipa hadhi ya Tetesi vinginevyo tungesumbuana.
 
Back
Top Bottom