Wadadisi wa siasa za kimataifa wanatuhabarisha kwamba Bwana Boris Johnson ambaye ni Waziri wa mambo ya Nje ya UK anapewa nafasi kubwa ya kumrithi Mama Teressa May ambaye amejiuzulu hivi karibuni.
Boris Johnson ni mtu mwenye misimamo mikali kama Rais Donald Trump.
Tusubiri muda utaongea hivi karibuni.
Alex Fredrick
Dar es salaam