MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,882
- 5,901
Ni vema kutumia quickbooks kwaajili ya kutunza kumbukumbu zako za kifedha ili ujue kilichotoka na kuingia.
Kwa wale wanaohitaji QUICKBOOKS PRO 2014 (U.S.A) inapatikana sasa kwa laki moja na ishirini tu (120,000 TZS). Kwa walio nje ya Dar es Salaam tunawatumia kwa gharama zetu, mkiungana na kununua zaidi ya tatu bei inakuwa 100,000 tu. Hii ni quickbooks original utapewa CD ikiwa na keys zake. Wasiliana na huyu kwa taarifa zaidi: tonyhaule@hotmail.com
Ilikuwa ni ushauri kwa mfanyabiashara wa wireless, pole kama umejisikia vibaya. Quickbooks Pro 2014 bado inapatikana kamanda. Asante"Quickbooks Pro 2014" inahusianaje na "wireless PIR (Motion Detector)"?
Toa ufafanuzi kinatumikaje
hii ni rahisi kuimpliment, haitumii umeme bali ina battery. unafunga nje ya nyumba au eneo ambalo utakuwa unaliangalia. inahisi mtu au intrusion yoyote inatoa alarm yenye hadi 110DB kwa umbali hadi wa eneo la mita 13.Maelezo yako hayajitoshelezi. Naona kuna ka-antena/arial inafanyaje kazi, Ukiwa mbali utajuaje-itarusha kwenye simu au itapeleka wapi signal?
BUKU JERO kuwa makini kwenye post zako,unaweza kuanzisha uzi wako bila kuingilia post ya mwenzio.
Quick book na Detector inakuwaje.
Haya mleta uzi hembu tuambie ina detect kwa umbali gani?
up to mita 13 karibu na subject yako, lakini pia unaweza kuiweka kwenye angle yenye kucover maeneo ya karibu. Mfano unanyumba umesafiri na hautegemei mtu kuingia. kama maeneo sio salama sana alarm itakayotoka inauwezo wa kualert majirani na kama unataka product ambayo ni inasupport sms utapata sms mkuu.