hl20 unaipakua wapi, google play sijaiona?
Hapana sio ya simu ni ya PC.
N'nataka ya kwenye simu
Mziki ambao ni bi amplified, low freq sound section inajitegemea, high freq sound section inajietegea,Na unatakiwa kuwa na speaker za aina gani ili kupata mziki mzuri?