Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,700
- 2,904
Wakuu asubuhi ya leo nimeamka mapema sio kawaida na kuoga maji ya baridi na baridi hili la Tukuyu. Baada ya nikaelekea sehemu ambayo usaili wa makarani wa sensa unafanyika nakukuta idadi nzuri tu ya kuridhisha.
Majina yalivyoanza kuitwa kuingia ndani ya chumba cha usaili sie wengine tumezuiwa mlangoni kisa tu hatuna kitambulisho mojawapo kati ya NIDA na mpiga kura, au leseni. Hata kama una namba ya nida lakini kitambulisho huna wametuzuia na kutuambia tusubiri sensa ijayo.
Ngoja niende jukwaa la wazee wa mikeka nikapate odds za kunipa hela ya KASICHANA.