Bora tuachane

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Lava lava from WCB
Nampenda sana huu wimbo bora tuachane
 
Na namba zako ntafuta ama unasemaje,,,,,,,,,, kwa upande wangu huu mstari alichemsha.
Kma ushaamua kumuacha kwa nini umuulize namba zako zinifute au unasemaje? okeee je akikujibu usifute?
 
Na namba zako ntafuta ama unasemaje,,,,,,,,,, kwa upande wangu huu mstari alichemsha.
Kma ushaamua kumuacha kwa nini umuulize namba zako zinifute au unasemaje? okeee je akikujibu usifute?
hatari sana
 
""""Ni dhahiri kisima kimekauka maji
ndo mana naona hata sina maana tena.
nilifikiri donda langu limepata mponyaji, umeniongezea homa mwili wote watetema""

We ndio nikupendae ila unanipa gadhabu jesca tusitoane nyonyo... na kama umenichoka niache kistaarabu ibra tusitoane nyooongo"

huu wimbo naupenda sana, nikiusikia huu na somo ya kassim mganga najiskia nmesikia ladha kamili ya Africa mashariki hasa Tanzania... wametumia kiswahili vizuri matamshi mazuri ujumbe mzuri bila kusahau USITIE DOA ya Aslay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…